MusicMint AI Music Generator Logo
MusicMint

Dulla swht

Style: Afro-fusion, Afrobeat slow tempo, emotional R&B blend, smooth female vocals, soft backing vocals, romantic, atmospheric Tempo: Slow (85–95 BPM) Key: Minor (emotional feel) Instruments: Soft piano, warm pads, light percussion, afro drums, subtle guitar plucks, deep bass, ambient textures Mood: Emotional, longing, romantic, hopeful, intimate Vocal Style: Female lead (soft, emotional, expressive) Spoken word intro (gentle, airy, with reverb) Light male background adlibs (echoed, distant feel)

Unknown·3:00

Lyrics

Intro (spoken word, soft reverb):

Mpenzi wangu… Dulla…

Anaenikosesha usingizi nikimwaza…

Umbali umetutenga kimwili…

Lakini rohoni… tuko pamoja…

Subiri mimi baby…

Maana siku zitasonga tu…

Na hiyo day… tutakuwa pamoja…

Verse:

Hey baby nifanye nini ili unielewe

Aki wallahi nakupenda, si kama hao wa mtaani wewe

Kila siku nikikuwaza, moyo wangu hujawa na wewe

Hata mbali ulipo, najihisi uko karibu nami wewe

Natamani kuwa nawe lakini distance inatuzuia

Lakini najua mwisho wake tutakuwa pamoja

Chorus:

Naomba siku zisonge haraka…

Nikuone tena, nikushike karibu…

Moyo wangu wachoka kukosa wewe…

Kila pumzi ni jina lako… Dulla…

Baby usichoke kunisubiri…

Maana mimi ni wako… na wewe ni wangu…

Kwani siku hazigandi, zitapita tu…

Na hiyo day itafika…

Outro:

Subiri mimi baby…

I’m coming…(coming)

Riziki she's coming for you

Like this song? Create something similar

Related AI Music Generators